Somo la sita
🇬🇧 » 🇰🇪
Learn Swahili From English
Learn Swahili From English
Practice Known Questions
Stay up to date with your due questions
Complete 5 questions to enable practice
Exams
Exam: Test your skills
Test your skills in exam mode
Learn New Questions
Manual Mode [BETA]
Select your own question and answer types
Specific modes
Learn with flashcards
multiple choiceMultiple choice mode
SpeakingPractice your speaking ability
TypingTyping only mode
Somo la sita - Leaderboard
Somo la sita - Details
Levels:
Questions:
75 questions
🇬🇧 | 🇰🇪 |
Where are you from? | Unatoka wapi? |
I am coming from the city of New York | Ninatoka jiji la New York. |
Where are you staying now? | Unakaa wapi sasa? |
I am staying in a student hostel | Ninakaa katika bweni. |
In which street? | Katika Njia gani? |
In which neighborhood? | Katika mtaa gani? |
Where are you studying now? | Unasoma wapi sasa? |
I am studying at the University of California Los Angeles. | Ninasoma katika Chuo Kikuu cha California Los Angeles. |
What are you studying? | Masomo gani unasoma? |
I am studying Swahili and linguistics. | Ninasoma Kiswahili na isimu ya lugha. |
Is Bill studying Swahili now? | Je, Bill anasoma Kiswahili sasa? |
Who is teaching Swahili? | Nani anafundisha Kiswahili? |
Why are you studying Swahili? | Kwa nini unasoma Kiswahili? |
I want to travel to Tanzania in order to make research. | Nataka kuenda Tanzania ili kufanya utafiti. |
Which language is he studying? | Anasoma lugha gani? |
Where are the teachers coming from? | Walimu wanatoka wapi? |
What are you teaching? | Unafundisha nini? |
Who is coming from New York? | Nani anakuja kutoka New York? |
Sarah is a Swahili teacher. | Sarah ni mwalimu wa Kiswahili. |
She’s from Mombasa but she’s staying in the city of Los Angeles now. | Anatoka Mombasa lakini anakaa katika mji wa Los Angeles sasa. |
She’s teaching Swahili here in America and studying linguistics at the University. | Anafundisha Kiswahili hapa Amerika na anasoma isimu katika Chuo Kikuu. |
After getting her degree she wants to return to Kenya and to teach linguistics at the University of Nairobi. | Baada ya kupata digrii yake anataka kurudi Kenya na kufundisha isimu katika Chuo Kikuu cha Nairobi. |
Teacher Tom is a teacher of linguistics and he’s teaching Swahili, as well. | Mwalimu Tom ni mwalimu wa isimu na anafundisha Kiswahili, pia. |
His wife is coming from the city of Michigan. | Mke wake anatoka mji wa Michigan. |
Her husband and their children are staying in Los Angeles. | Mume wake na watoto wao wanakaa Los Angeles. |
He’s working in the laboratory of UCLA. | Anafanya kazi katika maabara ya UCLA. |
Who is coming from Mombasa? | Nani anatoka Mombasa? |
Which language is Mrs. Sara teaching? | Bibi Sara anafundisha lugha gani? |
Where is teacher Tom‘s wife working? | Mke wa mwalimu Tom anafanya kazi wapi? |
What is the teacher’s name? | Jina la mwalimu ni nani? |
Do you live in Dar es Salaam? | Je, unaishi Dar es Salaam? |
We want to study Swahili. | Tunataka kusoma Kiswahili. |
We are coming from Mombasa. | Tunatoka Mombasa. |
Where are you guys coming from? | Ninyi mnatoka wapi? |
They are studying Swahili. | Wanasoma Kiswahili. |
The old men are greeting each other. | Wazee wanaamkiana. |
I want to study Swahili. | Nataka kusoma kiswahili. |
The old men are teaching. | Wazee wanafundisha. |
I want to get a Swahili course. | Nataka kupata kozi ya Kiswahili. |
African studies | Masomo ya Kiafrika |
Architecture | Usanifu majengo |
Business | Biashara |
Chemistry | Kemia |
Communication studies | Masomo ya mawasiliano |
Developmental studies | Masomo ya maendeleo |
Economics | Uchumi |
Education | Elimu |
Engineering | Uhandisi |
Environmental science | Sayansi ya mazingira |
Finance | Elimu ya fedha |
Fine arts | Sanaa |
Geography | Jiografia |
Geology | Jiolojia |
History | Historia |
Law | Sheria |
Library science | Sayansi ya maktaba |
Literature | Fasihi |
Management | Uongozi / manejementi |
Mathematics | Hisabati / hesabu |
Medicine | Udaktari / uganga |
Meteorology | Meteorolojia |
Music | Muziki |
Nutrition | Lishe |
Pediatrics | Matiababu ya watoto |
Philosophy | Falsafa |
Physics | Fizikia |
Plant science | Sayansi ya mimea |
Political science | Sayansi ya siasa |
Religion | Dini |
Science | Sayansi |
Social science | Sayansi ya jamii |
Surgery | Upasuaji |
Theatre arts | Sanaa ya maonyesho |
Urban planning | Mipango miji |
Women's studies | Masomo ya wanawake |